Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa
Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China baada ya
kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa
Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 22, 2014. (picha:
IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Saoud Ali Mohamed Al
Ruqaishi, Balozi wa Oman gapa nchini na Mjumbe Maalum wa Sultan Qaboos
Bin Said wa Oman ikulu jijini Dar es salaam jana Juni 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe kutoka kwa Mhe Saoud Ali
Mohamed Al Ruqaishi, Balozi wa Oman gapa nchini na Mjumbe Maalum wa
Sultan Qaboos Bin Said wa Oman ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22,
2014
0 comments:
Post a Comment