Wednesday, July 2, 2014

Duh! Muigizaji wa Nollywood Omotola, apost cheti cha kumaliza shule ya msingi kujigamba

Duh! Muigizaji wa Nollywood Omotola, apost cheti cha kumaliza shule ya msingi kujigamba

Muigizaji wa kike wa Nollywood, Omotola Jalade amezua alama za kuuliza kwa mashabiki wake baada ya kuamua kupost kwenye mtandao cheti chake cha kumaliza shule ya msingi mwka 1987 (leaving certificate) kwa lengo la kuonesha jinsi alivyokuwa na akili tangu zamani.

Omotola amefanya hivyo kuwaonesha watu kuwa amekuwa mtu anaefanya vizuri sio tu kwenye tasnia ya filamu lakini pia hata kwenye masomo yake ya awali ambapo maelezo ya mwalimu mkuu wake kwenye cheti hicho yanaonesha kuwa alimaliza shule akiwa anafanya vizuri sana.
Lakini majigambo kwa cheti cha darasa la saba cha mwaka 1987, leo…!

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...