Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone ameelezea kuwa hivi sasa
anajiandaa kutoza kiasi cha dola 400 za kimarekani ambazo ni sawa na
shilingi milioni moja za Uganda kwa ajili ya tiketi za watu muhimu yaani
VIP kwa ajili ya tamasha lake.
Mwanamuziki Jose Chameleone wa Uganda
Jose
Chameleone ambaye alifanya onyesho lake wiki iliyopita jijini humo,
amesema kuwa ameamua kutoza kiasi hicho kikubwa kutokana na kwamba
anampango wa kufanya tamasha la muziki kubwa na ghali kuwahi kutokea
katika historia nchini humo.
Tamasha hilo alilolibatiza jina "One man, One show, One Stage, One million." litafanyika nchini Uganda mwishoni mwa mwaka huu.
Tamasha hilo alilolibatiza jina "One man, One show, One Stage, One million." litafanyika nchini Uganda mwishoni mwa mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment