Wikiendi hii ilinogeshwa baada ya picha za Diamond na Hamisa Mombeto kuzua stori kubwa kuwa huenda jamaa(Diamond Platnums) alichepuka kidogo kwa mwanamitindo Hamisa.
Nae video vixen Agnes Masogange anaingia kwenye headline baada ya picha zenye utata kusambaa kwenye mitandao akiwa na msanii wa bongo fleva Regy The Best.
Masogange alie katika mahusiano na muigizaji Ramy Galis katika picha hizo zinawaonyesha wakiwa pamoja kitandani. Huku nyota wa Stop akionekana ndie aliyepiga picha hizo.
Ukweli ambao TED Vibes imeweza kuchimbua na kuupata ni kwamba mastaa hao wako location katika kutayarisha video yao mpya...
0 comments:
Post a Comment