TED VIBES 255

YOUTH MOVEMENT

Monday, January 23, 2017

Juma Ali ndiye mbunge wa Dimani

›
ZANZIBAR: Mgombea Ubunge jimbo la Dimani kupitia tiketi ya CCM, Juma Ali Juma ameibuka mshindi baada ya kupata jumla ya kura 4860. - Uchagu...

Treni yapata ajali

›
Takribani watu 36 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa baada ya Treni ya abiria kuacha reli kisha kupinduka. - Inadaiwa kuw...
Friday, January 13, 2017

MOTO WAZUKA ARRIVAL HALL-JNIA

›
Moto mkubwa umezuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) usiku wa leo na kusababisha taharuki kubwa kwa wasafiri na watumiaji wa...
Friday, October 7, 2016

Waziri mkuu wa umoja wa mataifa apatikana mpya

›
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa wingi wa kura limemteua aliyekuwa waziri mkuu wa Ureno Antonio Guterres kuwa katibu mkuu mpya wa u...
Wednesday, October 5, 2016

Raisi Magufuli apongezwa na serikali ya Ujerumani

›
Serikali ya Ujerumani imepongeza juhudi za Rais Dokta John Pombe Magufuli za kupambana kwa vitendo rushwa na ufisadi na kusema hatua hiyo in...

Wajumbe 5 kati ya 9 wanaounda bodi ya Wadhamini CUF wakana uhalali wa maamuzi juu ya Prof. Lipumba

›
Bodi ya wadhamini wa Chama cha Wananchi (CUF) imegawanyika baada ya wajumbe watano kati ya tisa wanaounda bodi hiyo kutoka Tanzania Bara kuk...
Monday, September 19, 2016

Mapambano ya idrissa yanaendelea

›
Mfanye @idrissultan a-host @MtvMamas 2016 Ni Rahisi gusa HAPA👇🏾halafu comment neno "YAY" https://www.ins...
Monday, August 15, 2016

Wizara ya maliasili na uchukuzi yatoa onyo kali

›
WIZARA ya Maliasili na Utalii imetoa onyo kwa yeyote  atakayejaribu  kudhoofisha  ama  kukwamisha  jitihada  za  kulinda  hifadhi  za  taifa...
Saturday, August 6, 2016

Defao akwama mombasa hotelini

›
Mwanamuziki nguli wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama General Defao akwama hotelini jijini Mombasa baada ya kushindwa kulipa Bi...
Thursday, August 4, 2016

Tren lauwa dar

›
Treni inayotoka Stesheni ya Posta kwenda Pugu mida ya saa 12 jioni, iimesababisha mtu mmoja kufariki baada ya huyo mtu aliye dandia treni na...

Story ya raisi wa simba ipo hapa

›
Taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zinadai kwamba, Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva anashilikiwa na Jeshi la polisi kwenye kit...

Mchungaji afariki kutaka kuvunja rekodi ya yesu ya kufunga

›
Mchungaji wa Afrika Kusini Alfred Ndlovu (44) amefariki baada ya kufunga usiku na mchana kwa siku thelathini akitaka kuvunja rekodi ya Yesu ...
Wednesday, August 3, 2016

Bei ya mafuta yapanda tena

›
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta kuanzia leo kutokana na mabadiliko ya bei kat...
Tuesday, August 2, 2016

Mwalimu auwawa bariadi

›
Mwalimu Daniel Msalika (42) wa shule ya msingi Nyasosi, wilayani Bariadi, mkoa wa Simiyu amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugand...

IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki

›
Source BBC SWAHILI Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki...
›
Home
View web version
Powered by Blogger.