Wednesday, October 26, 2011

50 CENT AMESEMA TAREHE YA KUACHIA

Baada ya kuchelewa kuachia album yake ya tano jamaa amefunguka na kusema kila kitu kitakuwa nje desember mwaka huu amesema kuwa ma funs wake wasahau yote yaliyo pita kuhusu kuchelewa kwa album na kusema kuwa kila kitu kitakuwa poa na wajiandaen kwa hilo.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...