Katika hali ya kuwa kimya sana takribani wiki kadha na kusababisha kuleta maneno mengi mtaani jana DJ Khaled ameongea kuhusu hali ya jamaa akiwa anahojiwa na kusema kuwa jamaa mzima sana tu na anaendelea vizuri pia na yupo mapumziko na familia yake na hivi karibuni mtamsikia na baada ya afya yake kuwa poa kabisa.
0 comments:
Post a Comment