Rapa Eminem kwasasa ansumbuliwa na ugonjwa wa massive memory loss na amekuwa akisumbuli kwa muda wa miaka mitano saa kutokano na madawa ya kulevya anayotumia kwani kwasasa anashindwa kukumbuka vitu vingi amefunguka kuwa amejikuta akifanya vitu bila yeye kujuwa na mwisho watu kuja kumwambia alicho kifanya ila nilishangaa kujiona kwenye tv wakati wa tuzo za bet award.







Dar+Es+Salaam
0 comments:
Post a Comment