Wednesday, October 19, 2011

50 CentATANGAZA PROJECT YAKE.


Rapa 50cent ni mmoja kati ya group la zaidi ya watu 40 ambao walio toka polisi wakishutumiwa kwakosa la kufanya video kwenye kwenye eneo ambalo haliruhusiwi.kulingana na hapo ni kwamba jamaa alikuwa na amefikiria kuwa awasaidie watu wenye njaa nakuamua kuanzisha kitu kitakachokwenda kwa jina la “Hustle With 50 Cent”ambayo itakuwa inadili na watu wenye njaa kupitia project yake ya Street King energy ambapo ni kiasi cha dolla 1,000,000 kwa wiki nakusaaidia hasa watoto.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...