Monday, October 24, 2011

FAT JOE ATANGAZA LA "THE DARKSIDE, VOL. 2" MIXTAPE

Fat Joe amejitokeza jamaa nakusema yupo tayari kuachia hiyo album ya new mixtape yenye jina la The Darkside, Vol. 2,inayoendana na alburm yakealiyo iachia mwaka 2010 album. Ameongeza kuwa ataaichia mzigo huo soon baada ya wiki tatu zijazo.
Amesema hakuna kazi kubwa kama kutengeneza mixtape na amesema kuwa hii ni mixtape nahii ni mixtapeiliyoniumiza kichwa kwahiyo ipo poa sana

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...