Weekend hii 50 Cent ametoa maneno kadhaa yakujadili kuhusu umasikini rushwa na mengine mengi nakusema kuwa watu wanaonekana kuto kujali na kuwekeana mipaka wenyewe kwa wenyewe kwenye shida hawana hata ratiba yajkusaidia watu mwsikini amewazungumzia wanasiasa nakusema kuwa wanakuja na shida ya kuwa viongozi alafu wanatokomea wakipata wanajisahau na wanapopata mafanikio ndo ikabisaameongeza kwasasa nimeamka na sinto lala tena kwani siko tayari kucheza mchezo huu tena
Mwishowe amesema kuwa ahadi yangu yaku lisha watoto inaendelea.
0 comments:
Post a Comment