Monday, October 31, 2011

FAT JOE AZUNGUMZIA JINSI ANAVYO PUNGUA UZITO NAKUMSHAURI RICK ROSS

Amefunguka nakusema kuwa anatumia pesa nyingi ilikupuguwa ingawa watu wanamshauri abadili jina akipunguwa ila yeye amesema kua atabaki kuwa Fat Joe's na kuongeza kuwa “nataka hi  summer nitumie vizuri kwa ajili hiyo na kamwe sito badilisha jina kama wanavyo taka na ninafanya hivi kwa afya yangu kwani kama sinto fanya hivyo nitaumia kiafya na mshauri rick Ross kuwa nayeye afanye hivi kwani hayo matatizo ya nasababishwa na unene

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...