Ni kitu kama wiki sasa tangu, Nicole Scherzinger watemane na jamaa yake ambaye ni mshiriki wa mashindano ya Formula One racer Lewis Hamilton ambaye alikuwa mpnz wake ,ambaye walikuwa kwenye mahusiano kwa muda wa miaka minne chakushangaza juzi kati ameonekana na Canadian hiphop star Drake wakiwa wote kwenye mlo wa usiku katika mgahawa uliopo west holywood kumbuka kilicho watenganisha wapenz hawa ni umbali uliopo kati yao wawili .
0 comments:
Post a Comment