Lloyd Banks ambaye alihairisha kutoa ‘’Cold Corner 2’’lakini amerudisha mawazo yake mwezi wa 8 nakusema kuwa mzigo utakuwa njee baada ya wiki mbili zijazo na mzigo upo tayari na una nyimbo 18 to 20 ambazo zishakuwa tayari zimesha rekodiwa nimefanya kazi usiku na mchana kumaliza mzigo huu nashukuru tayari.
0 comments:
Post a Comment