Thursday, October 20, 2011

RICK ROSS AIRISHA SHOW ….


Jamaaa baada ya kuarisha kupafomu pande za Memphis, Tennessee weekend hii kutokana na hali yake ya kiafya kuwa na hitilafu last wiki.
Jamaa ameairisha kufanya show nyengine pande za  Georgia State University ambako ni home town kwa jamaa kwa ajili ya kuweka afya yake irudi kwenye hali yake ya kawaida.
“tumejisikia vibaya sana kwa kuairisha show hii lakini tumemwelewa kwani afya yake inabidi aiweke sawa  na tuna amini kuwa atakuwa fiti muda si mrefu na atakuwa poa sana ni nukuu ya funs wake rick alipo funguka baada ya kupata tyaharifa ya kuairisha show hiyo.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...