Wednesday, October 19, 2011

SOULJA BOY AKAMATWA


Rapper wa Atlanta Soulja Boy akumbwa na msalaa wa kukamatwa na police pande za Georgia na mkono wa sheria wa polisi baaada ya kukutwa na marijuana jamaa ana umri wa miaka 21 na amekamatwa na washkaji wanzake wa 4 ambapo inasemekana kuwa thamani ya marijuana hiyo inafika kiasi cha dolla70,000 pamoja na bastola kumbunga kuwa mwaka jana jamaa pia alipata msala pande hizo za Georgia na kuwekwa miezi 12 chini ya uangalizi kwakosa la kusababisha ajali .

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...