Baada yakufanya kazi ya Best Love Song, featuring Chris Brown, na single ya 5 O’Clock, featuring Wiz Khalifa na Lily Allen, T-Pain ametangaza RCA Records ataachia album yake nne ya rEVOLVEr December 6, 2011. Amesema kuna mabadiliko makubwa kwenye album hii.kumbuka mzigo wa
5 O’Clock, uliingia kwenye Billboard’s Hot 100 ilishika namba 62 mpaka 25.
0 comments:
Post a Comment