Wednesday, October 19, 2011

YOUNG JEEZY ATANGAZ TAREHE YA KUACHIA "THUG MOTIVATION 103"


Young Jeezy jamaa amefunguka na kutangaza tarehe nyengine ya kuachia mzigo nah ii ni baada ya tarehe ya kwanza kuairishwa  album yake inayokwenda kwa jina la “Thug Motivation 103”mzigo atauachia  December 20so stay tayari kwa hilo.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...