soulja boy alikamatwa kwakosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya marijuana na bastola pande za georgia baada ya polisi kushtukia kuwa anakitu kama hicho na bastola kwenye gari lake.jamaa mwenye umri wa miaka 21 alikuwa na washkaji zake waanne kwenye gari lake hilona walikutwa na marijuana hiyo yenye thamani ya ya dolla $70,000 wote wlikamatwa na kupolekwa polisi.jamaaa ameomba msamaha kwa hilo kwa mafuns wake wote .
0 comments:
Post a Comment