Tuesday, November 8, 2011

AY KWA MARA NYENGINE ACHUKUWA TUZO UGANDA


ikiwa ni mara ya tatu mfululizo, Ambwene Yesaya (AY),  kupitia tuzo za PAM ziilizofanyika Uganda . Kupitia katika kategori ya msanii bora wa kiume kutoka Tanzania, AY amechukuwa tuzo hiyo mbele ya washiriki wengine , Belle 9, Diamond na Alikiba

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...