Sunday, November 13, 2011

LUDACRIS 1.21 GIGAWATTS KESHO


Siku ya leo Ludacris amefunguka akasema kuwa siku ya kesho ndo siku ya kuachea mzigo wake wa 1.21 GigaWatts na kila kitu kipo tayari ameongea hayo akiwa kwenye hotel moja huko Atlanta nakuongeza kuwa hii ni mixtape yake ya kwanza ambayo ataiachia siku ya kesho tarehe 15 mwezi huu watu waangalie ujio huu.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...