Tuesday, November 8, 2011

SNOOP DOGG'S NA YOUTH FOOTBALL LEAGUE

Snoop Dogg ambaye nimsani mkubwa wa mziki aliamua kuzamini ligi ya watoto ijulikanayo kama Snoop Youth Football League (SYFL) lakini kama kumeingia kimdudu katikati ya ligi hiyo kwani jamaa amejikuta akiwa kati ya watu waliokumbwa na tatizo la mkwanja kwani hali ya ligi hiyo ni mbaya kufikia stage baadhi ya mechi kuarishwa kutokana na bili kuwa kubwa cha kiasi cha dola$22,000.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...