Friday, September 28, 2012

50 Cent na Fat Joe Stage moja



Haija wahii tokea maadui hawa wakawa kwenye stage moja ilahii inatokea kwenye BET Hip Hop Awards za bwana mkubwa Chris Lighty.
Inaonekana kama 50 Cent na Fat Joe ugomvi wao watauweka pembeni katika hiyo stage inayo kuja ya tuzo za 2012 BET Hip Hop Awards.
Ingawa sasa ishu aijawa wazi bado kuwa itakuaje hiyo October 9 kwani mwaandaaji ajasema plan ipoje na wala ajazungumza ina nini kingine hapa namzungumzia BET's Vice President Tracy McGraw.
Tusubirini hiyo siku kuwa itakuaje na wangapi watachukua tuzo za mwaka huu ambazo zina changamoto kubwa kwa kila msanii aliyopo kwenye category yake.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...