Friday, September 28, 2012

JAY-Z KWENYEPERFORMANCES BARCLAYS CENTER

Jay-Z amechauliwa tena kwenye kuwawapa somo washiriki wa Barclays Center pande za Brooklyn.
Ishu itaanza weekend hii nayeye atakuwa kama founder wa Barclays Center in Brooklyn pande hizo za New York na amefunguka kuhusu hiyo ishu ambayo itafanyika uwanjani.
Jay amesema kuwa alikuwa akitaka hiyo seminary ambayo inaanza leo hii September 28 na itaenda mpaka October 6 ambako ndiyo kilele cha ishu yenyewe ambako watakuwa wakisherekea team yakwanza kumaliza kama professional sports team kama BK tangu ianze Brooklyn Dodgers . ameongeza pia kwenye hiyo ishu kutakuwa na wasnii wakubwa kama Rihanna.
"ninafuraha sana na niko tayari tena kutoa hii semina kwani tangu ianze wamekuwa na moyo mpaka timu ya kwanza imeanza na kukamilika nikama zawadi hivi kwa Brooklyn kuwa nahii timu nabado wanahitaji msaada wangu zaidi alisema hivyo jay z.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...