Thursday, September 27, 2012

Wiz Khalifa afunguka"O.N.I.F.C."

Kichwa kutoka Atlantic Records Wiz Khalifa ametangaza kuwa mzigo wake wa O.N.I.F.C., utatolewa mwezi wa will be released December  tarehe 4.

Album itafukuzia mauzo ya album yake ya mwaka 2011 Rolling Papers, ambayo iliipa nafasi nzuri na kumfanya auze kopy 800,000 units to date.
 Album hii ikifatana na single ya Remember You (ft. The Weeknd),na kufatiwa na single Work Hard, Play Hard na nyengine ni and the 2, It’s Nothin’.

Lakini Wiz’ mixtape Taylor Allderdice imechaguliwa kwenye category  ya Best Mixtape  kwenye tuzo 2012 BET Hip Hop Awards pande za Atlanta, ataivyo jamaa atakuwa kwenye stage  hiyo akipafomu nyimbo zake kali mbili Work Hard, Play Hard akipewa tafu na wakali wengine kama Young Jeezy and Juicy J.

Wiz pamoja na Taylor Gang wameongeza siku na tarehe za 2050 Tour, ambayo itaanza pande za  North America akiwa na Taylor Gang members mfano Juicy J, Chevy Woods, Lola Monroe, Tuki Carter and Berner. Ambako itamalizika October 12 pande za Bryce Jordan Center in State College na kuendelea tena katikati ya December.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...