Song: Kesho
Studio: Mj-Recordz
{Chorous}
=i> Mi nataka kesho
twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende
ukamuone mama x2
{Verse
1}
=I> Kwanza kabisa ntanyonga Tai
T"shirt na Jeans ntatupa
kidogo..
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni akapandisha
Mbogo...
Naukifika uagize
Chai
Savanna Takila uzipe kisogo...
Kuhusu mavazi kimini
haifai
Tupia pendeza ila za Hekima
Logo...
=I> Even though wanaponda eti we ni
kicheche
Waambie ndoo chaguo langu
sasa wanicheke x2
Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende
ukamuone mama x2
{Verse
2}
Usilete swaga
za Nainai
Ukanyoa kiduku kama
Moze Iyobo..
Eti shoping twende
Tai
wakati Dadaangu
anaduka kigogo..
Ukikuta Nguna
usikatae
we zuga unapenda hata
kama wa Muhogo..
Kuhusu kabila
mbona Sadai
Mama angu hana noma
hata kama Mgogo
=I> Even though wanaponda
eti we ni kicheche
Waambie ndoo
chaguo langu sasa wanicheke x2
{Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende
ukamuone mama x2
Bridge
Mama yangu mama...
Mama Naseeb mama...
Mama Diamond mama...
Mama yangu nyumbani...
Mama Chali mama...
Mama Sepetu mama...
Mama Kidoti mama...
Kwa mama Diamond nyumbani...
{Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
0 comments:
Post a Comment