Rihanna, Chris Brown,Laker Game,na Nicki
Minaj wataweka mkwanja mbele kuliko Beyonce.
Wamepata matagazo na magazeti ya marekani
wameyaweka mikononi mwao kuliku beyonce tena kwani promo ndefu sana kwa sasa
toka kwao.
Beyonce atafanya show ya $4 million pande
za Las Vegas mwishoni mwa mwaka huu katika kuuwaga mwaka huu 2012 na nicki
minaj naye atakuwa home kutoa show pia.
0 comments:
Post a Comment