Waziri mkuu mizengo panda amewataka
watanzania wasiwe na matumain ya muda mfupi au mategemeo pa ya muda mfupi
kuhusu upatikanaj wa wa nishart ya petrol na gesi nchini.
Akifungua mkutano wa sita wa
wadau wa nishati hiyo wan chi za afrika mashariki mjinii arusha jana alisema
nishati hiyo inahitaji uwekezaji mkubwa hadi ianze kutoa matunda.
Aliwataka watanzaniia wawe
tayari kujipanga vizuri katika kuimarisha kwa ushirikano kati ya wawekezaji na
serikaliambayo jukumu lake nikujenga mazingira mazuri kwa wawekezaji.
Alisema kukuwakwa sekta y ages nay
a petrol katika nchi za eac kutachochea ukuaji wa wa maendeleo katika nmaeneo
mengne yakiwemo ya uchumi na ustawi wa jamii waziiri mkuu amesema kuwa ufahamu
mdogo mongoni mwa wanachi hasa watanzania ni chnagamoto kubwa kwenye secta
hiii.
Aliongeza kuwa jambo la msingi
ni kuimarisha ushiriikiano katika nchi zote bza afrika masharikikatika utafiti
wa uchimbajii na uzalishaji wa nishati zote kama hakuta kuwa na ushirikiano
katka nchi zote ili kupata maendeleo.
0 comments:
Post a Comment