Wiki chache zilizopita ilikuwa ni furaha kwa mwanamuziki Shakira pamoja na mume wake Gerard Pique kwani walibahatika kupata mtoto wa kiume siku ya January 22 mwaka huu katika mji wa Barcelona.
Pichani juu ni mume wa Shakira [proud father] ambae ni mchezaji wa timu ya Barcelona, Gerard Pique akiwa amemshika mtoto wao Milan.
0 comments:
Post a Comment