Tuesday, February 5, 2013

Watanzania na big brother Africa



Ikiwa ni miezi michache sana imebaki mpaka shindano la big brother kuanza ambako Tanzania wasanii wamekuwa na hali ya kushiriki kwa asilimia kubwa kwani mapaka sasa tumefikisha wasanii watatu ambao wamechukua fomu amabao ni hemedy, wema sepetu na hivi karibuni q-chief nay eye kachukua form kumbuka shindano linanaza mwishoni mwa mwezi wa tano.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...