Wasanii kutoka Kigoma wakifanya
la shirika la Hifadhi Ya Jamii ya [NSSF]... Pichani anaonekana Diamond
Platnumz, Queen Darleen, Chege na wengineo.
Kundi hili kwa pamoja ni
wasanii kutoka mkoa wa kigoma wakifanya vizuri kimuziki wakijulikana kama Kigoma
All Stars wakitamba kwa ngoma zao kama LEKA DUTIGITE na mpya iliyotoka hivi
karibuni, NYUMBANI...
0 comments:
Post a Comment