Moja
kati ya show kali zinazoongozwa kuangaliwa na waafrika wanaoishi marekani ni
show ya sporah show na ikiwa ni siku chache tangu ommy dimponzi kuelekea london
kikazi amekutaninshwa na alikiba ambaye yupo katika tour ya aliyo ipa jina la
valentine tour ambayo ameanzia Manchester na kumalizia Birmingham City.
Tarehe 22 mwezi huu alikiba anashow na ommy dimpozi katika
mjii Milton Keynes uliopo kando kidogo ya London na kasha watarudi London kwa
show nyengine tarehe 23 mwezi huohuo na kurudi bongo land.picha kwa kwa msaada
wa gongamx.
0 comments:
Post a Comment