Tuesday, February 19, 2013

Kama zamani ya mwana fa inakuja mwezi huu



Moja kati ya ngoma iliyo zungumziwa tangu mwaka jana na watu kuingoja kwa hamu toka kwa binamu mwana FA  tarehe ya ngoma kutoka imeanikwa ambako ngoma amefanya na wakongwe wa burudani na wazungumzia kilimanjaro band (njenje)pamoja na mandojo na domo kaya ngoma itatoka tarehe 25 mwezi huu na imepewa jina la kama zamani.
According to the rapper himself, MwanaFA alisema track hiyo itapatikana moja kwa moja katika mitandao mikubwa inayouza na kusambaza muziki duniani yaani iTunes, Amazon na Spotify na kuomba fans wake waupate huko.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...