Wednesday, March 6, 2013

Kanye west list imeongezeka



Kwa muda wa mwaka sasa kanye west alikuwa na dis na watu kama vile taylor swift, George Bush, na sasa grammy award na siku ya mbili zilizo pita aliongeza idadi ya watu ndani ya list yake na yote aliyawka wazi siku ya jana wakati akifanya interview na hot 97 jijini new York na kumtaja drake na big sean .

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...