Tuesday, March 5, 2013

Iron Man 3 soon nje


Tony Stark ndiye main character kwa wa move ya iron man ambayo imetoka katika sehemu mbili sasa sehemu ya tatu imetoka trella yake ambayo kama kawa tony ndiye main character na wakatihuo ameonekana kama supa hero na wakati huo mzigo unaweza kuwa nje siku yeyote kuanzia leo.



Angalia baadhi ya picha za move hii.


 
 
 
 

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...