Monday, March 11, 2013

Kumbe kala na ben pol



Kama unakumbuka wiki iliyopita tulikuletea habari kuhusu rapper Kala Jeremiah kuwa yuko mbioni kuachia ngoma yake nyingine, hii akiwa ameshirikiana na mwanamuziki mwenye miondoko ya RnB maarufu kama Ben Pol.
Amesema watu wengi ukimbilia dar kutafuta maisha ndo maana nikaamua kuandika kazi hii ya karibu dar.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...