Monday, March 11, 2013

Snoop kaweka wazi hii



You down with SNOOP??? April 23 ndio tarehe ambayo album mpya itatoka!!!
Hii ni kutoka kwa mwanamuziki mkongwe katika industry ya muziki kutoka Marekani ambae bado anaendelea kutikisa zaidi, Snoop DOGG au Snoop Lion.
Habari zaidi ni kuwa yuko mbioni kuachia album yake mpya na ya kwanza kabisa iliyo katika mtindo wa Reggae ambayo inafahamika kama ''REINCARNATED''.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...