Monday, March 11, 2013

Kwenye mtandao barnaba



Msanii kutoka kwenye Jumba la vipaji Tanzania, THT, Barnaba amefungua tovuti yake mpya.
Barnaba ambae kwa sasa anafanya vizuri sana na track/video yake ya ''Am Sorry'' ambayo ameiachia kama wiki kadhaa zilizopita ameachia website hiyo yenye link: http://www.barnababoy.com/ ambayo inaanza kufanya kazi leo....
Dhumuni kubwa la kuanzisha official website hii ni kwa ajili ya mashabiki wake ambao wanapenda kujua mengi kuhusiana na msanii huyu mfano kama ukitaka kuona shows zake alizozifanya hapo nyuma na anazoendelea kufanya, nyimbo zake mpya, picha na vingine vingi vyote vitapatikana humo.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...