Tuesday, March 5, 2013

Queen Elizabeth atoka hospital



Baada ya ya kopata ugonjwa wa gafla siku bya ijumaa usiku na kupelekwa hospital queen elizabeth hatimaye ametoka hospital na kurudi nyumbani jana mchana amboko alikuwa akisumbvuliwa na ugonjwa wa gastroenteritis
Queen Elizabeth alikuwa katika hospital ya King Edward VII's Hospital ambako alipelekwa na kuruhusiwa jana mchana .

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...