Waziri Mkuu wa Denmark, Mhe. Helle Thorning-Schmidt
amewasili nchini jana usiku kwa ziara ya
kitaifa ya siku nne Ziara hiyo ya Mhe. Thorning-Schmidt inafuatia mwaliko wa
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe. Thorning-Schmidt ambaye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku nakupokelewa na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Akiwa hapa nchini, Mhe. Thorning-Schmidt atafanya mazungumzo rasmi na Mhe. Rais Kikwete na baadaye kwa pamoja na Mhe. Rais Kikwete watakutana na Waandishi wa Habari, Ikulu, Dar es Salaam.
Aidha, siku ya leo Mhe. Thorning-Schmidt atatembelea Meli ya Kijeshi ya Denmark ya
Iver Huitfeldt ambayo imetia nanga katika
Bandari ya Dar es Salaam tarehe 1 Machi, 2013 na kuzungumza na Mabaharia katika
meli hiyo.Mhe. Thorning-Schmidt ambaye amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku nakupokelewa na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Akiwa hapa nchini, Mhe. Thorning-Schmidt atafanya mazungumzo rasmi na Mhe. Rais Kikwete na baadaye kwa pamoja na Mhe. Rais Kikwete watakutana na Waandishi wa Habari, Ikulu, Dar es Salaam.
Aidha, siku ya leo Mhe. Thorning-Schmidt atatembelea Meli ya Kijeshi ya Denmark ya
Mhe. Thorning-Schmidt pia atatoa Mhadhara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya leo pia kuhusu Elimu na Maendeleo kabla ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima yake na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam.
Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar
es Salaam.
wakati huohuo Mhe. Thorning-Schmidt ataondoka Dar es Salaam tarehe kesho kuelekea Arusha ambako ataendelea na ziara yake kwa kutembelea maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), Kijiji cha Wamaasai cha Lepurko na kukutana na Waandishi wa Habari.

Akiendelea na ziara yake Mkoani Arusha tarehe 8 Machi, 2013
Mhe. Thorning-Schmidt atatembelea Shamba la Kahawa linalomilikiwa na Bw.
Christian Jespen lililoko pembezoni mwa Bonde la Ngorongoro na baadaye
anatarajiwa kutembelea Hospitali ya Wilaya ya Mbulu.
Aidha siku hiyo hiyo, Mhe. Thorning-Schmidt anatarajiwa kutembelea Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo atakuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Dkt. Richard Sezibera. Mhe. Thorning-Schmidt pia atatembelea Kituo cha Mafunzo kinachofadhiliwa na Serikali ya Denmark cha Mellemfolkeligt Samvirkes, MS-TCDC kilichopo Usa River.
Mhe. Thorning-Schmidt anatarajiwa kuondoka hapa nchini tarehe 08 Machi 2013 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kurejea nchini kwake Denmark.

0 comments:
Post a Comment