Wakati dunia ikiadhimisha mkataba wa watoto unaolinda haki za kundi hilo
muhimu katika jamii, nchini Kenya, kama kwingineko duniani, visa vya
ubakaji vinatajwa. Hata hivyo katikati ya wingu hilo la ukatili wa
kingono kuna habari njema za kuwanusuru wahanga wa matuko hayo.
0 comments:
Post a Comment