baada ya wiki iliyopita kuwa na scandal kuwa will smith na margot robbiie kuwa wanamahusiano ya kimapenzi kitu kilicho weza kumake headline sana wiki iliyo kwisha na ukweli huo walikaana na sasa wawilii hawa wamekutana huko argentina na kupiga picha za pamoja na kujadili juu ya kufanya kazi pamoja ya move stay karibu kwa jili ya update kuhusu ujio huo hapa na thade expensive.
0 comments:
Post a Comment