kampuni ya Apple Inc.leo asubuhi wameachia simu nyengine ambayo ni iphone5c katika nchi za Australia, China baadhi ya nchi za European ambayo imeizidi iPad 4 tablet inayo karibia iPad
2 kumbukaka iPad 4 ilikuwa ikiuzwa $399 kwa ukubwa wa16GB ikiwa na Wi-Fi mpaka $529
za ukubwa huohuo wa 16GB Wi-Fi kwa marekani.
iPhone 5C imeingia sokoni na kuuzwa kwa kiasi cha
$100 kuliko iPhone 5S,tafuta umiliki na wewe
0 comments:
Post a Comment