
IKULU -- Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden
HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu
jijini Dar es Salaam jana Mach 19, 2014.
Princess Victoria, ambaye ameambatana na Waziri wa Biashara wa Sweden. Bi Ewa Björling, yuko nchini kwa ziara ya siku tatu.
0 comments:
Post a Comment