Muimbaji Miley Cyrus ameonekana kutokuwa na furaha kipindi kifupi kilichopita baada ya kufariki kwa mbwa wake kipenzi Floyd.
Miley Cyrus na Mbwa wake Floyd
Mwanamuziki
huyu anayeamini goti lake linafanana na Seth Rogen, aliandika waraka
mrefu katika ukurasa wake wa Twitter ambapo alielezea kuumizwa kwake na
kifo cha Mbwa wake Floyd.
Anasema Anajiuliza ni kwanini dunia imemchukulia mbwa wake kipenzi, ambaye alikuwa msaada wake mkubwa alipohitaji Faraja...na kuongeza kuwa anajisikia kama mwanae amemtoka kwani yeye alikuwa mama wa Mbwa huyu.
Floyd aliuwawa na mbwa mwitu wiki chache zilizopita na kuanzia hapo msanii Miley Cyrus amekuwa akiombeleza kifo cha mbwa wake huyo.

Dar+Es+Salaam
0 comments:
Post a Comment