Diamond yupo L.A Marekani kwa ajili ya tukio la utoaji wa tuzo za
B.E.T ambapo yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni picha 6
na video moja akiwa huko Los Angeles na kwenye hii video yupo eneo
ambalo zinafanyika interview za wasanii mbalimbali.
Unaweza kumuona Buster Rhymes akiwa kwenye interview na mtangazaji
mmoja na pia zamu ya Diamond ilifika kufanya mahojiano na waandishi
mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment