Timu ya taifa ya ujerumani hatimaye imeweka historia mpya baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la dunia mwaka huu baada ya kuifunga timu ya angentina bao 1-0.
Ujerumani ambayo kikosi chake kinaundwa na wachezaji wengi wanaotoka club moja ya beyan munich walopata bao lao daki ya 112 kupitia goteiz ambaye aliche mpira safi tangu mwanzo wa mchezo kwa mwaka huu wa 2014 mabingwa ni ujerumani kombe la dunia tusubiri msimu mwengine wa kombe la dunia mwaka 2018.
0 comments:
Post a Comment