Mashambulizi ya milipuko inayosadikiwa kusababishwa na kundi la Al
Shabaab nchini Kenya yameendelea kuzorotesha sio tu uchumi na maendeleo
ya nchi bali pia kuathiri kwa kiasi kikubwa tasnia ya burudani nchini
humo.
Msanii Nonini wa nchini Kenya
eNewz
imepata fursa ya kuongea na mmoja wa wasanii maarufu nchini Kenya
Nonini kuhusiana na hali hiyo ambayo hivi sasa watu wamekuwa wana hofu
kwenda sehemu mbalimbali za starehe nchini humo.

0 comments:
Post a Comment