Sunday, July 6, 2014

Kim Kardashian asema ametabiriwa kuwa mjamzito hivi punde

Kim Kardashian asema ametabiriwa kuwa mjamzito hivi punde Kim Karadashiana ambaye ni mama wa motto wa mwaka mmoja atapata ujauzito hivi punde, kwa mujibu wa mtabiri wake.
Kim Kardashian amesema kuhusu utabiri wa mtaalam wake katika kipande kinachotangaza ujio wa episode mpya ya Keeping Up With The Kardashians alipoulizwa na dada yake Khole Kardashian alichoambiwa wake wa masuala ya saikolojia.
“ Amesema nitakuwa mjamzito hivi punde.” Alijibu Kim Kardashian katika kipande kinachowaonesha yeye, Khole Kardashin na Rob Khardashian.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...