Friday, July 18, 2014

Mtoto aliwa ubongo.samahani kwa picha hizi

Katika hali ya kushangaza mwanaume mmoja ambaye ni mkazi wa marangu wilaya ya moshi vijijini aliye fahamika kwa jina la frank urasa amefanya kitendo cha kikatili kwa mtoto wa aliye fahamika kwa jina la felcian mramba anayesoma darasa la tatu katika shule ya msingi ya marangu hills kwa kumpasua kichwa na kula ubongo wa mtoto huyo.
Mashuhuda wanasemakuwa mtuhumiwa alitumia jembe kumpiga nalo mtoto huyo na kisha kumpasua kichwa na kuanza kula ubongo wa mtoto huyo tukio lililo umiza watu wengi wa eneo hilo

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...